TUNAUZA DRIP IRRIGATION PIPE | MIPIRA INAYOTUMIKA KWENYE UMWAGILIAJI WA MATONE Call/Text/WhatsApp:
TUNAUZA DRIP IRRIGATION PIPE | MIPIRA INAYOTUMIKA KWENYE UMWAGILIAJI WA MATONE Call/Text/WhatsApp: 0714 63 63 75 @joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet Urefu ni 1,000m Specifications -1000m, 30cm spacing. K1600 -1000m, 20cm spacing. K1800 - Thickness 0.4mm Drip irrigation pipe ni mipira inayotumika kwenye kilimo cha mwagiliaji wa matone, yaani Drip irrigation system. Umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya dripu zinazomwaga matone kidogo kidogo. 1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika. 2. Mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu. 3. Unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji. 4. Ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udon
We think you’ll love these